The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 48 › Isaya 48:16

Isaya 48:16

“Nikaribieni na msikilize hili: 1 “Tangu tangazo la kwanza sikusema kwa siri; 2 wakati litokeapo, nitakuwako hapo.” 1 Sasa Bwana Mwenyezi amenituma, 2 kwa Roho wake. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Come ye near unto me, hear ye this; I have not spoken in secret from the beginning; from the time that it was, there am I: and now the Lord GOD, and his Spirit, hath sent me.

In Context

15Mimi, naam, Mimi, nimenena; 2 naam, nimemwita yeye. 1 Nitamleta, 2 naye atafanikiwa katika lile nililomtuma.

17Hili ndilo asemalo Bwana, 2 Mkombozi wako, yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli: 1 “Mimi ni Bwana, Mungu wako, 2 nikufundishaye ili upate faida, 2 nikuongozaye katika njia ikupasayo kuiendea. 1

Read all of Isaya 48

Cross References

Isaiah 41:1“Nyamazeni kimya mbele zangu, enyi visiwa! 2 Mataifa na wafanye upya nguvu zao! 1 Wao na wajitokeze, kisha waseme, 2 tukutane pamoja mahali pa hukumu. 1

Isaiah 48:3Nilitoa unabii mambo ya kwanza tangu zamani, 2 kinywa changu kiliyatangaza na kuyafanya yajulikane; 2 kisha ghafula nikayatenda, nayo yakatokea. 1

Zechariah 2:8Kwa kuwa hivi ndivyo asemavyo Bwana Mwenye Nguvu Zote: “Baada ya yeye kuniheshimu na kunituma mimi dhidi ya mataifa yaliyokuteka nyara, kwa kuwa yeyote awagusaye ninyi, anaigusa mboni ya jicho lake,

John 3:34Yeye aliyetumwa na Mungu husema maneno ya Mungu, kwa kuwa Mungu humtoa Roho pasipo kipimo.

John 20:21Yesu akawaambia tena, “Amani iwe nanyi! Kama vile Baba alivyonituma mimi, mimi nami nawatuma ninyi.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 48:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 48:15Isaya 48Isaya 48:17 →