Isaiah 48:2
ninyi mnaojiita raiya wa mji mtakatifu, 2 na kumtegemea Mungu wa Israeli, 2 Bwana Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Judges 17:13Ndipo Mika akasema, “Sasa najua Bwana atanitendea mema, kwa kuwa Mlawi huyu amekuwa kuhani wangu.”
Nehemiah 11:1Basi viongozi wa watu walikaa Yerusalemu, nao watu wale wengine walipiga kura ili kuleta mtu mmoja kati ya watu kumi aje kuishi Yerusalemu, mji mtakatifu, nao wengine tisa waliobaki wakae katika miji yao wenyewe.
Psalms 48:1Bwana ni mkuu, anayestahili kusifiwa sana, 2 katika mji wa Mungu wetu, 2 mlima wake mtakatifu. 1
Isaiah 10:20Katika siku ile, mabaki ya Israeli, 2 walionusurika wa nyumba ya Yakobo, 1 hawatamtegemea tena yeye aliyewapiga, 2 lakini watamtegemea kwa kweli 2 Bwana Aliye Mtakatifu wa Israeli. 1
Isaiah 51:13kwamba mnamsahau Bwana Muumba wenu, 2 aliyezitanda mbingu 2 na kuiweka misingi ya dunia, 1 kwamba mnaishi katika hofu siku zote 2 kwa sababu ya ghadhabu ya mdhalimu, 2 ambaye nia yake ni kuangamiza? 1 Iko wapi basi ghadhabu ya mdhalimu? 2
Isaiah 52:1Amka, amka, ee Sayuni, 2 jivike nguvu. 1 Vaa mavazi yako ya fahari, 2 ee Yerusalemu, mji mtakatifu. 1 Asiyetahiriwa na aliye najisi 2 hataingia kwako tena. 1