The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 51 › Isaiah 51:13

Isaiah 51:13

kwamba mnamsahau Bwana Muumba wenu, 2 aliyezitanda mbingu 2 na kuiweka misingi ya dunia, 1 kwamba mnaishi katika hofu siku zote 2 kwa sababu ya ghadhabu ya mdhalimu, 2 ambaye nia yake ni kuangamiza? 1 Iko wapi basi ghadhabu ya mdhalimu? 2

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And forgettest the LORD thy maker, that hath stretched forth the heavens, and laid the foundations of the earth; and hast feared continually every day because of the fury of the oppressor, as if he were ready to destroy? and where is the fury of the oppressor?

In Context

12“Mimi, naam mimi, 2 ndimi niwafarijie ninyi. 1 Ninyi ni nani hata kuwaogopa 2 wanadamu wanaokufa, 2 wanadamu ambao ni majani tu, 1

14Wafungwa waliojikunyata kwa hofu 2 watawekwa huru karibuni; 1 hawatafia kwenye gereza lao, 2 wala hawatakosa chakula. 1

Read all of Isaiah 51

Cross References

Exodus 15:9“Adui alijivuna, 2 ‘Nitawafuatia, nitawapata. 1 Nitagawanya nyara; 2 nitajishibisha kwa wao. 1 Nitafuta upanga wangu 2 na mkono wangu utawaangamiza.’ 1

Esther 5:14Zereshi mkewe na rafiki zake wote wakamwambia, “Tengeneza mahali pa kuangika watu kimo chake dhiraa hamsini, + 5:14 Dhiraa 50 ni sawa na mita 22.5. kisha kesho asubuhi mwombe mfalme Mordekai aangikwe juu yake. Ndipo uende na mfalme kwenye karamu kwa furaha.” Shauri hili lilimpendeza Hamani, naye akajenga mahali pa kuangika watu.

Job 9:8Yeye peke yake huzitandaza mbingu 2 na kuyakanyaga mawimbi ya bahari. 1

Job 37:18je, waweza kuungana naye katika kuzitandaza anga, 2 zilizo ngumu kama kioo cha shaba ya kuyeyushwa? 1

Psalms 37:35Nimemwona mtu mwovu na mkatili akistawi 2 kama mwerezi wa Lebanoni, 1

Psalms 102:25Hapo mwanzo uliweka misingi ya dunia, 2 nazo mbingu ni kazi ya mikono yako. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 51:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 51:12Isaiah 51Isaiah 51:14 →