The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 48 › Isaiah 48:21

Isaiah 48:21

Hawakuona kiu alipowaongoza kupita jangwani; 2 alifanya maji yatiririke kutoka kwenye mwamba kwa ajili yao; 1 akapasua mwamba 2 na maji yakatoka kwa nguvu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And they thirsted not when he led them through the deserts: he caused the waters to flow out of the rock for them: he clave the rock also, and the waters gushed out.

In Context

20Tokeni huko Babeli, 2 kimbieni kutoka kwa Wakaldayo! 1 Tangazeni hili kwa kelele za shangwe 2 na kulihubiri. 1 Lipelekeni mpaka miisho ya dunia; 2 semeni, “ Bwana amemkomboa 2 mtumishi wake Yakobo.” 1

22“Hakuna amani kwa waovu,” asema Bwana.

Read all of Isaiah 48

Cross References

Numbers 20:11Ndipo Mose akainua mkono wake na kuupiga mwamba mara mbili kwa fimbo yake. Maji yakabubujika, nayo jumuiya na mifugo yao wakanywa.

Nehemiah 9:20Uliwapa Roho wako mwema ili kuwafundisha. Hukuwanyima mana yako vinywani mwao, nawe ukawapa maji kwa ajili ya kiu yao.

Psalms 78:20Alipopiga mwamba, maji yalitoka kwa nguvu, 2 vijito vikatiririka maji mengi. 1 Lakini je, aweza kutupa chakula pia? 2 Je, anaweza kuwapa watu wake nyama?” 1

Isaiah 30:25Katika siku ile ya mauaji makuu, wakati minara itakapoanguka, vijito vya maji vitatiririka juu ya kila mlima mrefu na kila kilima kilichoinuka sana.

Isaiah 41:17“Maskini na wahitaji wanatafuta maji, 2 lakini hayapo, 2 ndimi zao zimekauka kwa kiu. 1 Lakini Mimi Bwana nitawajibu, 2 Mimi, Mungu wa Israeli, sitawaacha. 1

Isaiah 43:20Wanyama wa mwituni wataniheshimu, 2 mbweha na bundi, 1 kwa sababu ninawapatia maji jangwani, 2 na vijito katika nchi kame, 1 ili kuwapa watu wangu maji, wale niliowachagua, 2

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 48:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 48:20Isaiah 48Isaiah 48:22 →