The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 49 › Isaiah 49:10

Isaiah 49:10

Hawataona njaa wala kuona kiu, 2 wala hari ya jangwani au jua halitawapiga. 1 Yeye mwenye huruma juu yao atawaonyesha njia, 2 na kuwaongoza kando ya chemchemi za maji. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

They shall not hunger nor thirst; neither shall the heat nor sun smite them: for he that hath mercy on them shall lead them, even by the springs of water shall he guide them.

In Context

9kuwaambia mateka, ‘Tokeni nje,’ 2 nao wale walio gizani, ‘Kuweni huru!’ 1 “Watajilisha kando ya barabara 2 na kupata malisho yao juu ya kila kilima kilicho kitupu. 1

11Nitaifanya milima yangu yote kuwa barabara, 2 na njia kuu zangu zitainuliwa. 1

Read all of Isaiah 49

Cross References

Psalms 121:5Bwana anakulinda, 2 Bwana ni uvuli wako mkono wako wa kuume, 1

Isaiah 4:6Utakuwa sitara na kivuli kutokana na joto la mchana, na kuwa mahali pa kujificha kutokana na dhoruba na mvua.

Isaiah 25:4Umekuwa kimbilio la watu maskini, 2 kimbilio la mhitaji katika taabu yake, 1 hifadhi wakati wa dhoruba 2 na kivuli wakati wa hari. 1 Kwa maana pumzi ya wakatili 2 ni kama dhoruba ipigayo ukuta 2

Isaiah 33:16huyu ndiye mtu atakayeishi mahali pa juu, 2 ambaye kimbilio lake litakuwa ngome ya mlimani. 1 Atapewa mkate wake, 2 na maji yake hayatakoma. 1

Isaiah 40:11Huchunga kundi lake kama mchungaji wa mifugo: 2 Hukusanya wana-kondoo katika mikono yake 1 na kuwachukua karibu na moyo wake, 2 huwaongoza taratibu wale wanyonyeshao. 1

Jeremiah 31:9Watakuja wakilia; 2 wataomba wakati ninawarudisha. 1 Nitawaongoza kando ya vijito vya maji 2 katika mapito yaliyo tambarare ambapo hawatajikwaa, 1 kwa sababu mimi ndimi baba wa Israeli, 2 naye Efraimu ni mzaliwa wangu wa kwanza. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 49:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 49:9Isaiah 49Isaiah 49:11 →