Isaiah 49:13
Pigeni kelele kwa furaha, enyi mbingu; 2 furahi, ee dunia; 2 pazeni sauti kwa kuimba, enyi milima! 1 Kwa maana Bwana anawafariji watu wake, 2 naye atakuwa na huruma kwa watu wake walioumizwa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
14Lakini Sayuni alisema, “ Bwana ameniacha, 2 Bwana amenisahau.” 1
Cross References
Psalms 89:13Mkono wako umejaa uwezo; 2 mkono wako una nguvu, 2 mkono wako wa kuume umetukuzwa. 1
Psalms 96:12mashamba na yashangilie, 2 pamoja na vyote vilivyomo ndani yake. 1 Kisha miti yote ya msituni itaimba kwa furaha; 2
Psalms 148:9ninyi milima na vilima vyote, 2 miti ya matunda na mierezi yote, 1
Isaiah 40:1Wafarijini, wafarijini watu wangu, 2 asema Mungu wenu. 1
Isaiah 44:23Enyi mbingu, imbeni kwa furaha, 2 kwa maana Bwana amefanya jambo hili. 2 Ee vilindi vya dunia, piga kelele. 1 Enyi milima, pazeni sauti kwa nyimbo, 2 enyi misitu na miti yenu yote, 1 kwa maana Bwana amemkomboa Yakobo, 2 ameuonyesha utukufu wake katika Israeli. 1 Yerusalemu Kukaliwa 1
Isaiah 52:9Pazeni sauti ya nyimbo za furaha pamoja, 2 enyi magofu ya Yerusalemu, 1 kwa maana Bwana amewafariji watu wake, 2 ameikomboa Yerusalemu. 1