Isaiah 49:21
Ndipo utasema moyoni mwako, 2 ‘Ni nani aliyenizalia hawa? 1 Nilikuwa nimefiwa, tena tasa; 2 nilikuwa nimehamishwa na kukataliwa. 2 Ni nani aliyewalea hawa? 1 Niliachwa peke yangu, 2 lakini hawa wametoka wapi?’ ”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 1:8Binti Sayuni ameachwa kama kipenu 2 katika shamba la mizabibu, 1 kama kibanda katika shamba la matikitimaji, 2 kama mji uliohusuriwa. 1
Isaiah 5:13Kwa hiyo watu wangu watakwenda uhamishoni 2 kwa sababu ya kukosa ufahamu, 1 watu wao wenye vyeo watakufa kwa njaa 2 na watu wao wengi watakauka kwa kiu. 1
Isaiah 52:2Jikungʼute mavumbi yako, 2 inuka, uketi kwenye kiti cha enzi, ee Yerusalemu. 1 Jifungue minyororo iliyo shingoni mwako, 2 ee Binti Sayuni uliye mateka.
Isaiah 60:15“Ingawa umeachwa na kuchukiwa, 2 bila yeyote anayesafiri ndani yako, 1 nitakufanya kuwa fahari ya milele, 2 na furaha ya vizazi vyote. 1
Isaiah 64:10Miji yako mitakatifu imekuwa jangwa; 2 hata Sayuni ni jangwa, Yerusalemu ni ukiwa. 1
Lamentations 1:1Tazama jinsi mji ulivyoachwa ukiwa, 2 mji ambao zamani ulikuwa umejaa watu! 1 Jinsi ambavyo umekuwa kama mama mjane, 2 ambaye wakati fulani alikuwa maarufu miongoni mwa mataifa! 1 Yule ambaye alikuwa malkia miongoni mwa majimbo 2 sasa amekuwa mtumwa. 1