The Bible Software
bible.software › Isaya › Isaya 60 › Isaya 60:15

Isaya 60:15

“Ingawa umeachwa na kuchukiwa, 2 bila yeyote anayesafiri ndani yako, 1 nitakufanya kuwa fahari ya milele, 2 na furaha ya vizazi vyote. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Whereas thou hast been forsaken and hated, so that no man went through thee, I will make thee an eternal excellency, a joy of many generations.

In Context

14Wana wa wale waliokuonea watakuja wakisujudu mbele yako, 2 wote wanaokudharau watasujudu kwenye miguu yako, 1 nao watakuita Mji wa Bwana, 2 Sayuni ya Aliye Mtakatifu wa Israeli. 1

16Utanyonya maziwa ya mataifa, 2 na kunyonyeshwa matiti ya wafalme. 1 Ndipo utakapojua kwamba Mimi, Bwana, ni Mwokozi wako, 2 Mkombozi wako, niliye Mwenye Nguvu wa Yakobo. 1

Read all of Isaya 60

Cross References

Isaiah 1:7Nchi yenu imekuwa ukiwa, 2 miji yenu imeteketezwa kwa moto; 1 nchi yenu imeachwa tupu na wageni 2 mbele ya macho yenu, 2 imeharibiwa kama vile imepinduliwa na wageni. 1

Isaiah 6:12hadi Bwana atakapokuwa amekwisha kumpeleka kila mmoja mbali sana, 2 na nchi itakapokuwa imeachwa kabisa. 1

Isaiah 35:10waliokombolewa na Bwana watarudi. 1 Wataingia Sayuni wakiimba; 2 furaha ya milele itakuwa juu ya vichwa vyao. 1 Watapata furaha na shangwe; 2 huzuni na majonzi vitakimbia.

Isaiah 54:6Bwana atakuita urudi 2 kana kwamba ulikuwa mke aliyeachwa na kuhuzunishwa rohoni; 1 kama mke aliyeolewa bado angali kijana 2 na kukataliwa,” asema Mungu wako. 1

Isaiah 65:18Lakini furahini na kushangilia daima 2 katika hivi nitakavyoumba, 1 kwa kuwa nitaumba Yerusalemu uwe wa kupendeza, 2 nao watu wake wawe furaha. 1

Jeremiah 33:11sauti za shangwe na furaha, sauti za bibi na bwana arusi, na sauti za wale waletao sadaka za shukrani katika nyumba ya Bwana, wakisema, 1 “ ‘ “Mshukuruni Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 kwa maana Bwana ni mwema; 2 upendo wake wadumu milele.” Kwa kuwa nitairudishia nchi baraka kama zilivyokuwa hapo awali,’ asema Bwana.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 60:15

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 60:14Isaya 60Isaya 60:16 →