The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 5 › Isaiah 5:13

Isaiah 5:13

Kwa hiyo watu wangu watakwenda uhamishoni 2 kwa sababu ya kukosa ufahamu, 1 watu wao wenye vyeo watakufa kwa njaa 2 na watu wao wengi watakauka kwa kiu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Therefore my people are gone into captivity, because they have no knowledge: and their honourable men are famished, and their multitude dried up with thirst.

In Context

12Wana vinubi na zeze kwenye karamu zao, 2 matari, filimbi na mvinyo, 1 lakini hawayajali matendo ya Bwana, 2 wala hawana heshima kwa ajili ya kazi ya mikono yake. 1

14Kwa hiyo kaburi + 5:14 Kaburi hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol. limeongeza hamu yake 2 na kupanua mdomo wake bila kikomo, 1 ndani mwake watashuka wakuu wao na wingi wa watu, 2 pamoja na wagomvi wao, na wafanyao sherehe wote. 1

Read all of Isaiah 5

Cross References

2 Kings 17:6Katika mwaka wa tisa wa Hoshea, mfalme wa Ashuru akaiteka Samaria na kuwahamishia Waisraeli huko Ashuru. Akawaweka huko Hala, na Gozani karibu na Mto Habori, na katika miji ya Wamedi. 1 Israeli Inakwenda Uhamishoni Kwa Sababu Ya Dhambi

Proverbs 10:21Midomo ya mwenye haki hulisha wengi, 2 lakini wapumbavu hufa kwa kukosa ufahamu. 1

Isaiah 1:7Nchi yenu imekuwa ukiwa, 2 miji yenu imeteketezwa kwa moto; 1 nchi yenu imeachwa tupu na wageni 2 mbele ya macho yenu, 2 imeharibiwa kama vile imepinduliwa na wageni. 1

Isaiah 42:22Lakini hili ni taifa lililoibwa na kutekwa nyara, 2 wote wamenaswa katika mashimo, 2 au wamefichwa katika magereza. 1 Wamekuwa nyara, 2 wala hapana yeyote awaokoaye. 1 Wamefanywa mateka, 2 wala hapana yeyote asemaye, “Warudishe.” 1

Jeremiah 14:3Wakuu wanawatuma watumishi wao maji; 2 wanakwenda visimani 2 lakini humo hakuna maji. 1 Wanarudi na vyombo bila maji; 2 wakiwa na hofu na kukata tamaa, 2 wanafunika vichwa vyao. 1

Lamentations 4:4Kwa sababu ya kiu ulimi wa mtoto mchanga 2 umegandamana na kaakaa la kinywa chake, 1 watoto huomba mkate, 2 lakini hakuna yeyote awapaye. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 5:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 5:12Isaiah 5Isaiah 5:14 →