The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 49 › Isaiah 49:24

Isaiah 49:24

Je, nyara zaweza kuchukuliwa kutoka kwa mashujaa wa vita, 2 au mateka kuokolewa kutoka kwa watu wakali?

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Shall the prey be taken from the mighty, or the lawful captive delivered?

In Context

23Wafalme watakuwa baba zenu wa kuwalea, 2 na malkia wao watakuwa mama zenu wa kuwalea. 1 Watasujudu mbele yako nyuso zao zikigusa ardhi; 2 wataramba mavumbi yaliyo miguuni mwako. 1 Ndipo utajua ya kuwa Mimi ndimi Bwana; 2 wale wanaonitumaini mimi hawataaibika.” 1

25Lakini hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Naam, mateka watachukuliwa kutoka kwa mashujaa, 2 na nyara zitapokonywa kutoka kwa watu wakali. 1 Nitashindana na wale wanaoshindana nawe, 2 nami nitawaokoa watoto wako. 1

Read all of Isaiah 49

Cross References

Ezra 9:9Ingawa tu watumwa, Mungu wetu hajatuacha katika kufungwa kwetu. Ametuonyesha huruma mbele ya wafalme wa Uajemi: Ametujalia maisha mapya kwa kujenga upya nyumba ya Mungu wetu na kukarabati magofu yake, naye ametupa ukuta wa ulinzi katika Yuda na Yerusalemu.

Nehemiah 9:33Katika hayo yote yaliyotupata, umekuwa mwenye haki, na umetenda kwa uaminifu, wakati sisi tumetenda mabaya.

Psalms 124:6Bwana asifiwe, 2 yeye ambaye hakuruhusu turaruliwe kwa meno yao. 1

Isaiah 42:22Lakini hili ni taifa lililoibwa na kutekwa nyara, 2 wote wamenaswa katika mashimo, 2 au wamefichwa katika magereza. 1 Wamekuwa nyara, 2 wala hapana yeyote awaokoaye. 1 Wamefanywa mateka, 2 wala hapana yeyote asemaye, “Warudishe.” 1

Jeremiah 25:6Msiifuate miungu mingine ili kuitumikia na kuiabudu. Msinikasirishe kwa vitu ambavyo mmevitengeneza kwa mikono yenu.”

Ezekiel 37:3Akaniuliza, “Mwanadamu, mifupa hii yaweza kuishi?” Nikajibu, “Ee Bwana Mwenyezi, wewe peke yako wajua.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 49:24

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 49:23Isaiah 49Isaiah 49:25 →