Isaiah 49:25
Lakini hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Naam, mateka watachukuliwa kutoka kwa mashujaa, 2 na nyara zitapokonywa kutoka kwa watu wakali. 1 Nitashindana na wale wanaoshindana nawe, 2 nami nitawaokoa watoto wako. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 12:3Nitawabariki wale wanaokubariki, 2 na yeyote akulaaniye nitamlaani; 1 na kupitia kwako mataifa yote duniani 2 yatabarikiwa.”
Numbers 23:8Nitawezaje kuwalaani, 2 hao ambao Mungu hajawalaani? 1 Nitawezaje kuwashutumu 2 hao ambao Bwana hakuwashutumu? 1
Isaiah 14:2Mataifa watawachukua 2 na kuwaleta mahali pao wenyewe. 1 Nayo nyumba ya Israeli itamiliki mataifa 2 kama watumishi na wajakazi katika nchi ya Bwana. 1 Watawafanya watekaji wao kuwa mateka, 2 na kutawala juu ya wale waliowaonea.
Isaiah 35:4waambieni wale wenye mioyo ya hofu, 2 “Kuweni hodari, msiogope; 1 tazama, Mungu wenu atakuja, 2 pamoja na malipo ya Mungu, 2 atakuja na kuwaokoa ninyi.” 1
Isaiah 41:12Ingawa utawatafuta adui zako, 2 hutawaona. 1 Wale wanaopigana vita dhidi yako 2 watakuwa kama vile si kitu kabisa. 1
Isaiah 52:2Jikungʼute mavumbi yako, 2 inuka, uketi kwenye kiti cha enzi, ee Yerusalemu. 1 Jifungue minyororo iliyo shingoni mwako, 2 ee Binti Sayuni uliye mateka.