Isaiah 5:2
Alililima na kuondoa mawe 2 na akaliotesha mizabibu bora sana. 1 Akajenga mnara wa ulinzi ndani yake, 2 na kutengeneza shinikizo la kukamulia divai pia. 1 Kisha akatazamia kupata mazao ya zabibu nzuri, 2 lakini lilizaa matunda mabaya tu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 23:9Kutoka vilele vya miamba ninawaona, 2 kutoka mahali palipoinuka ninawatazama. 1 Ninaliona taifa ambalo wanaishi peke yao, 2 nao hawahesabiwi kama mojawapo ya mataifa. 1
Deuteronomy 32:8Aliye Juu Sana alipowapa mataifa urithi wao, 2 alipogawanya wanadamu wote, 1 aliweka mipaka kwa ajili ya mataifa 2 sawasawa na hesabu ya wana wa Israeli. 1
Judges 16:4Baada ya hayo akampenda mwanamke mmoja katika Bonde la Soreki aliyeitwa Delila.
Psalms 44:1Ee Mungu, tumesikia kwa masikio yetu, 2 baba zetu wametueleza 1 yale uliyotenda katika siku zao, 2 siku za kale. 1
Isaiah 1:2Sikieni, enyi mbingu! Sikilizeni, enyi dunia! 2 Kwa maana Bwana amesema: 1 “Nimewalisha watoto na kuwalea, 2 lakini wameniasi mimi. 1
Isaiah 1:21Tazama jinsi mji uliokuwa mwaminifu 2 umekuwa kahaba! 1 Mwanzoni ulikuwa umejaa unyofu, 2 haki ilikuwa inakaa ndani yake, 2 lakini sasa ni wauaji! 1