Isaiah 5:19
kwa wale wanaosema, “Mungu na afanye haraka, 2 aharakishe kazi yake ili tupate kuiona. 1 Huo mpango wa Aliye Mtakatifu wa Israeli na ukamilike, 2 tena udhihirike ili tupate kuujua.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
18Ole wao wanaovuta dhambi kwa kamba za udanganyifu 2 na uovu kama kwa kamba za mkokoteni, 1
Cross References
Isaiah 30:11Acheni njia hii, 2 ondokeni katika mapito haya, 1 nanyi acheni kutukabili pamoja 2 na yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli!”
Jeremiah 5:12Wamedanganya kuhusu Bwana. 2 Wamesema, “Yeye hatafanya jambo lolote! 1 Hakuna dhara litakalotupata; 2 kamwe hatutaona upanga wala njaa. 1
Jeremiah 23:18Lakini ni yupi miongoni mwao aliyesimama katika baraza la Bwana 2 ili kuona au kusikia neno lake? 1 Ni nani aliyesikiliza 2 na kusikia neno lake? 1
Ezekiel 12:22“Mwanadamu, ni nini hii mithali mlio nayo katika nchi ya Israeli: ‘Siku zinapita na hakuna maono yoyote yanayotimia?’
Amos 5:18Ole wenu ninyi mnaoitamani 2 siku ya Bwana! 1 Kwa nini mnaitamani siku ya Bwana? 2 Siku hiyo itakuwa giza, si nuru. 1