Malachi 2:17
Mmemchosha Bwana kwa maneno yenu. Nanyi mnauliza, “Tumemchosha kwa namna gani?” Mmemchosha kwa kusema, “Wote watendao mabaya ni wema machoni pa Bwana, naye anapendezwa nao” au “Mungu wa haki yuko wapi?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 32:4Yeye ni Mwamba, kazi zake ni kamilifu, 2 njia zake zote ni haki. 1 Mungu mwaminifu ambaye hakosei, 2 yeye ni mnyofu na mwenye haki. 1
Job 34:5“Ayubu anasema, ‘Mimi sina hatia, 2 lakini Mungu ameninyima haki yangu. 1
Job 34:36Laiti Ayubu angejaribiwa hadi kikomo cha mwisho, 2 kwa sababu anajibu kama mtu mwovu! 1
Psalms 10:11Anajisemea mwenyewe, “Mungu amesahau, 2 huficha uso wake na haoni kabisa.” 1
Psalms 95:9ambapo baba zenu walinijaribu na kunipima, 2 ingawa walikuwa wameyaona matendo yangu. 1
Isaiah 1:14Sikukuu zenu za Miandamo ya Mwezi, na sikukuu zenu zilizoamriwa: 2 moyo wangu unazichukia. 1 Zimekuwa mzigo kwangu, 2 nimechoka kuzivumilia. 1