Isaiah 5:8
Ole wenu mnaoongeza nyumba baada ya nyumba 2 na kuunganisha mashamba baada ya mashamba 1 hadi hakuna nafasi iliyobaki, 2 nanyi mnaishi peke yenu katika nchi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Kings 21:16Ahabu aliposikia Nabothi amekufa, akainuka na kushuka ili kulichukua shamba la mizabibu la Nabothi.
Proverbs 15:27Mtu mwenye tamaa huletea jamaa yake taabu, 2 bali yeye achukiaye rushwa ataishi. 1
Ezekiel 11:15“Mwanadamu, ndugu zako, ndugu zako ambao ni wa uhusiano wa damu na nyumba yote ya Israeli, ndio wale ambao watu wa Yerusalemu wamesema, ‘Wako mbali na Bwana; nchi hii tulipewa sisi kuwa milki yetu.’ 1 Ahadi Ya Kurudi Kwa Israeli
Micah 2:1Ole kwa wale wapangao uovu, 2 kwa wale wafanyao shauri la hila vitandani mwao! 1 Kunapopambazuka wanalitimiza 2 kwa sababu uko katika uwezo wao kutekeleza. 1
Habakkuk 2:6“Je, watu wote hawatamsuta kwa dhihaka na kumbeza, wakisema, 1 “ ‘Ole wake yeye akusanyaye bidhaa zilizoibwa 2 na kujifanyia utajiri kwa kutoza kwa nguvu! 2 Ataendelea hivi kwa muda gani?’ 1
Matthew 23:13“Lakini ole wenu, walimu wa sheria na Mafarisayo, enyi wanafiki! Kwa maana mnawafungia watu milango ya Ufalme wa Mbinguni. Ninyi wenyewe hamuingii humo, nao wale wanaotaka kuingia mnawazuia. [