The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 26 › Ayubu 26:12

Ayubu 26:12

Kwa nguvu zake aliisukasuka bahari; 2 kwa hekima yake alimkata Rahabu + 26:12 Rahabu hapa ni fumbo la kumaanisha Lewiathani, mnyama mkubwa wa baharini mwenye magamba anayefanana na joka kubwa, mwenye umbo la kutisha, asiyeweza kuvuliwa. vipande vipande. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He divideth the sea with his power, and by his understanding he smiteth through the proud.

In Context

11Nguzo za mbingu nazo zatetemeka, 2 zinatishika anapozikemea. 1

13Aliisafisha anga kwa pumzi yake; 2 kwa mkono wake alimchoma joka aendaye mbio. 1

Read all of Ayubu 26

Cross References

Job 9:13Mungu hataizuia hasira yake; 2 hata jeshi kubwa la Rahabu + 9:13 Rahabu hapa ina maana ya Misri kwa fumbo. lenye nguvu 2 linajikunyata miguuni pake. 1

Job 40:11Fungulia ukali wa ghadhabu yako, 2 mtafute kila mwenye kiburi umshushe, 1

Psalms 74:13Ni wewe uliyeigawanya bahari kwa uweza wako; 2 ulivunja vichwa vya wanyama wakubwa wa kutisha katika maji. 1

Psalms 93:3Bahari zimeinua, Ee Bwana, 2 bahari zimeinua sauti zake; 2 bahari zimeinua sauti za mawimbi yake. 1

Isaiah 2:12Bwana Mwenye Nguvu Zote anayo siku aliyoiweka akiba 2 kwa wote wenye kujivuna na wenye kiburi, 2 kwa wote wanaojikweza 2 (nao watanyenyekezwa), 1

Isaiah 51:15Kwa maana Mimi ndimi Bwana, Mungu wako, 2 ambaye huisukasuka bahari ili mawimbi yake yangurume: 2 Bwana Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 26:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 26:11Ayubu 26Ayubu 26:13 →