Isaiah 9:19
Kwa hasira ya Bwana Mwenye Nguvu Zote 2 nchi itachomwa kwa moto, 1 nao watu watakuwa kuni za kuchochea moto. 2 Hakuna mtu atakayemhurumia ndugu yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 1:31Mtu mwenye nguvu atatoweka kama majani makavu yawakayo moto, 2 na kazi yake kama cheche ya moto; 1 vyote vitaungua pamoja, 2 wala hakuna wa kuuzima huo moto.”
Isaiah 8:22Kisha wataangalia duniani na kuona tu dhiki na giza, hofu na huzuni tupu, nao watasukumiwa kwenye giza nene kabisa.
Isaiah 13:13Kwa hiyo nitazifanya mbingu zitetemeke, 2 nayo dunia itatikisika kutoka mahali pake 1 katika ghadhabu ya Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 katika siku ya hasira yake iwakayo. 1
Isaiah 24:6Kwa hiyo laana inaiteketeza dunia, 2 watu wake lazima waichukue hatia yao. 1 Kwa hiyo wakazi wa dunia wameteketezwa, 2 nao waliosalia ni wachache sana. 1
Isaiah 60:2Tazama, giza litaifunika dunia 2 na giza kuu litayafunika mataifa, 1 lakini Bwana atazuka juu yako 2 na utukufu wake utaonekana juu yako. 1
Ezekiel 9:5Nikiwa ninasikia, akawaambia wale wengine, “Mfuateni anapopita katika mji wote mkiua, pasipo huruma wala masikitiko.