The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 51 › Isaya 51:23

Isaya 51:23

Nitakiweka mikononi mwa watesi wako, 2 wale waliokuambia, 1 ‘Anguka kifudifudi 2 ili tuweze kutembea juu yako.’ 1 Ukaufanya mgongo wako kama ardhi, 2 kama njia yao ya kupita.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But I will put it into the hand of them that afflict thee; which have said to thy soul, Bow down, that we may go over: and thou hast laid thy body as the ground, and as the street, to them that went over.

In Context

22Hili ndilo asemalo Bwana Mwenyezi wako, 2 Mungu wako, yeye ambaye huwatetea watu wake: 1 “Tazama, nimeondoa mkononi mwako 2 kikombe kilichokufanya uyumbayumbe; 1 kutoka kikombe hicho, 2 kikombe cha kunywa cha ghadhabu yangu, 2 kamwe hutakunywa tena. 1

Read all of Isaya 51

Cross References

Psalms 65:11Umeuvika mwaka taji ya baraka, 2 magari yako yanafurika kwa wingi. 1

Psalms 129:3Wakulima wamelima mgongo wangu, 2 na kufanya mifereji yao mirefu. 1

Proverbs 21:18Waovu huwa fidia kwa ajili ya wenye haki, 2 nao wasio waaminifu kwa ajili ya wanyofu. 1

Jeremiah 25:15Hili ndilo Bwana, Mungu wa Israeli, aliloniambia: “Chukua kutoka mkononi mwangu kikombe hiki kilichojaa divai ya ghadhabu yangu, na kuyanywesha mataifa yote ambayo ninakutuma kwao.

Revelation 11:2Lakini usiupime ua wa nje wa Hekalu, uache, kwa sababu ua huo wamepewa watu wa Mataifa. Hao wataukanyagakanyaga mji mtakatifu kwa muda wa miezi arobaini na miwili.

Revelation 17:6Nikaona kuwa huyo mwanamke alikuwa amelewa kwa damu ya watakatifu, yaani, damu ya wale watu waliouawa kwa ushuhuda wa Yesu. Nilipomwona huyo mwanamke, nilistaajabu sana.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 51:23

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 51:22Isaya 51