Proverbs 21:18
Waovu huwa fidia kwa ajili ya wenye haki, 2 nao wasio waaminifu kwa ajili ya wanyofu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The wicked shall be a ransom for the righteous, and the transgressor for the upright.
In Context
17Mtu apendaye anasa atakuwa maskini, 2 yeyote apendaye mvinyo na mafuta kamwe hatakuwa tajiri. 1
19Ni afadhali kuishi jangwani 2 kuliko kuishi na mke mgomvi na mkorofi. 1
Cross References
Isaiah 43:3Kwa kuwa Mimi ndimi Bwana, Mungu wako, 2 yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli, Mwokozi wako. 1 Ninaitoa Misri kuwa fidia yako, 2 Kushi na Seba badala yako. 1
Isaiah 55:8“Kwa kuwa mawazo yangu si mawazo yenu, 2 wala njia zenu si njia zangu,” 4 asema Bwana. 1