The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 51 › Isaya 51:6

Isaya 51:6

Inueni macho yenu mbinguni, 2 mkaitazame dunia chini; 1 mbingu zitatoweka kama moshi, 2 dunia itachakaa kama vazi, 2 na wakazi wake kufa kama mainzi. 1 Bali wokovu wangu utadumu milele, 2 haki yangu haitakoma kamwe. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Lift up your eyes to the heavens, and look upon the earth beneath: for the heavens shall vanish away like smoke, and the earth shall wax old like a garment, and they that dwell therein shall die in like manner: but my salvation shall be for ever, and my righteousness shall not be abolished.

In Context

5Haki yangu inakaribia mbio, 2 wokovu wangu unakuja, 2 nao mkono wangu utaleta hukumu kwa mataifa. 1 Visiwa vitanitegemea 2 na kungojea mkono wangu kwa matumaini. 1

7“Nisikieni, ninyi mnaojua lililo sawa, 2 ninyi watu ambao mna sheria yangu mioyoni mwenu: 1 Msiogope mashutumu ya wanadamu 2 wala msitiwe hofu na matukano yao. 1

Read all of Isaya 51

Cross References

Deuteronomy 4:19Na utazamapo juu angani na ukaliona jua, mwezi na nyota na vyote vinavyoipamba mbingu, usije ukashawishiwa kuviinamia na kuviabudu vile ambavyo Bwana Mungu wenu alivyogawia mataifa yote chini ya mbingu.

Psalms 102:25Hapo mwanzo uliweka misingi ya dunia, 2 nazo mbingu ni kazi ya mikono yako. 1

Psalms 111:3Kazi zake zimejaa fahari na utukufu, 2 haki yake hudumu daima. 1

Isaiah 34:4Nyota zote za mbinguni zitayeyuka 2 na anga litasokotwa kama kitabu, 1 jeshi lote la angani litaanguka 2 kama majani yaliyonyauka kutoka kwenye mzabibu, 2 kama tini iliyonyauka kutoka kwenye mtini. 1

Isaiah 45:17Lakini Israeli ataokolewa na Bwana 2 kwa wokovu wa milele; 1 kamwe hutaaibika wala kutatahayarika, 2 milele yote. 1

Isaiah 51:8Kwa maana nondo atawala kama vazi, 2 nao funza atawatafuna kama sufu. 1 Lakini haki yangu itadumu milele, 2 wokovu wangu kwa vizazi vyote.” 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 51:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 51:5Isaya 51Isaya 51:7 →