The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 51 › Isaya 51:5

Isaya 51:5

Haki yangu inakaribia mbio, 2 wokovu wangu unakuja, 2 nao mkono wangu utaleta hukumu kwa mataifa. 1 Visiwa vitanitegemea 2 na kungojea mkono wangu kwa matumaini. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

My righteousness is near; my salvation is gone forth, and mine arms shall judge the people; the isles shall wait upon me, and on mine arm shall they trust.

In Context

4“Nisikilizeni, watu wangu; 2 nisikieni, taifa langu: 1 Sheria itatoka kwangu; 2 haki yangu itakuwa nuru kwa mataifa. 1

6Inueni macho yenu mbinguni, 2 mkaitazame dunia chini; 1 mbingu zitatoweka kama moshi, 2 dunia itachakaa kama vazi, 2 na wakazi wake kufa kama mainzi. 1 Bali wokovu wangu utadumu milele, 2 haki yangu haitakoma kamwe. 1

Read all of Isaya 51

Cross References

1 Samuel 2:10wale wampingao Bwana 2 wataharibiwa kabisa. 1 Atapiga radi dhidi yao kutoka mbinguni; 2 Bwana ataihukumu miisho ya dunia. 1 “Atampa nguvu mfalme wake, 2 na kuitukuza pembe 2 ya mpakwa mafuta wake.”

Psalms 67:4Mataifa yote wafurahi na kuimba kwa shangwe, 2 kwa kuwa unatawala watu kwa haki 2 na kuongoza mataifa ya dunia. 1

Psalms 96:13itaimba mbele za Bwana kwa maana anakuja, 2 anakuja kuihukumu dunia. 1 Ataihukumu dunia kwa haki, 2 na mataifa katika kweli yake.

Psalms 110:6Atawahukumu mataifa, akilundika mizoga 2 na kuwaponda watawala wa dunia nzima. 1

Isaiah 40:10Tazameni, Bwana Mwenyezi anakuja na nguvu, 2 nao mkono wake ndio utawalao kwa ajili yake. 1 Tazameni, ujira wake u pamoja naye, 2 nayo malipo yake yanafuatana naye. 1

Isaiah 46:13Ninaleta haki yangu karibu, 2 haiko mbali; 2 wala wokovu wangu hautachelewa. 1 Nitawapa Sayuni wokovu, 2 Israeli utukufu wangu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 51:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 51:4Isaya 51Isaya 51:6 →