The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 52 › Isaiah 52:6

Isaiah 52:6

Kwa hiyo watu wangu watalijua Jina langu; 2 kwa hiyo katika siku ile watajua 1 kwamba ndimi niliyetangulia kulisema. 2 Naam, ni mimi.” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Therefore my people shall know my name: therefore they shall know in that day that I am he that doth speak: behold, it is I.

In Context

5“Basi sasa nina nini hapa?” asema Bwana. 1 “Kwa kuwa watu wangu wamechukuliwa pasipo malipo, 2 nao wale wanaowatawala wanawadhihaki,” 4 asema Bwana. 1 “Mchana kutwa 2 jina langu limetukanwa bila kikomo. 1

7Tazama jinsi miguu ya wale waletao habari njema 2 ilivyo mizuri juu ya milima, 1 wale wanaotangaza amani, 2 wanaoleta habari njema, 2 wanaotangaza wokovu, 1 wauambiao Sayuni, 2 “Mungu wako anatawala!” 1

Read all of Isaiah 52

Cross References

Exodus 3:13Mose akamwambia Mungu, “Ikiwa nitawaendea Waisraeli na kuwaambia, ‘Mungu wa baba zenu amenituma kwenu,’ nao wakiniuliza, ‘Jina lake ni nani?’ Nitawaambia nini?”

Exodus 34:5Kisha Bwana akashuka katika wingu akasimama pamoja naye huko, akalitangaza jina lake, Bwana.

Psalms 48:10Ee Mungu, kama jina lako lilivyo, 2 sifa zako zinafika hadi miisho ya dunia, 2 mkono wako wa kuume umejazwa na haki. 1

Isaiah 42:9Tazama, mambo ya kwanza yametokea, 2 nami natangaza mambo mapya; 1 kabla hayajatokea 2 nawatangazia habari zake.” 1 Wimbo Wa Kumsifu Bwana 1

Isaiah 60:16Utanyonya maziwa ya mataifa, 2 na kunyonyeshwa matiti ya wafalme. 1 Ndipo utakapojua kwamba Mimi, Bwana, ni Mwokozi wako, 2 Mkombozi wako, niliye Mwenye Nguvu wa Yakobo. 1

Ezekiel 20:44Nanyi mtajua kuwa mimi ndimi Bwana, nitakaposhughulika nanyi kwa ajili ya Jina langu na wala si sawasawa na njia zenu mbaya na matendo yenu maovu, ee nyumba ya Israeli, asema Bwana Mwenyezi.’ ” 1 Unabii Dhidi Ya Kusini

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 52:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 52:5Isaiah 52Isaiah 52:7 →