Isaya 60:16
Utanyonya maziwa ya mataifa, 2 na kunyonyeshwa matiti ya wafalme. 1 Ndipo utakapojua kwamba Mimi, Bwana, ni Mwokozi wako, 2 Mkombozi wako, niliye Mwenye Nguvu wa Yakobo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 43:3Kwa kuwa Mimi ndimi Bwana, Mungu wako, 2 yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli, Mwokozi wako. 1 Ninaitoa Misri kuwa fidia yako, 2 Kushi na Seba badala yako. 1
Isaiah 49:26Nitawafanya wale wanaokuonea kula nyama yao wenyewe, 2 watalewa kwa damu yao wenyewe, 2 kama vile kwa mvinyo. 1 Ndipo wanadamu wote watajua 2 ya kuwa Mimi, Bwana, ni Mwokozi wako, 2 Mkombozi wako, niliye Mwenye Nguvu wa Yakobo.”
Isaiah 59:20“Mkombozi atakuja Sayuni, 2 kwa wale wa Yakobo 2 wanaozitubu dhambi zao,” 4 asema Bwana.
Isaiah 66:11Kwa kuwa mtanyonya na kutosheka 2 katika faraja ya matiti yake; 1 mtakunywa sana, 2 na kuufurahia wingi wa mafuriko ya ustawi wake.”
Ezekiel 34:30Ndipo watakapojua kuwa Mimi, Bwana, Mungu wao, niko pamoja nao, na kwamba wao, nyumba ya Israeli, ni watu wangu, asema Bwana Mwenyezi.