Isaya 54:12
Nitafanya minara yako ya akiki, 2 malango yako kwa vito vingʼaavyo, 2 nazo kuta zako zote za vito vya thamani. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
13Watoto wako wote watafundishwa na Bwana, 2 nayo amani ya watoto wako itakuwa kuu. 1
Cross References
Exodus 28:19safu ya tatu itakuwa na hiakintho, akiki nyekundu na amethisto;
Isaiah 49:16Tazama, nimekuchora kama muhuri 2 katika vitanga vya mikono yangu, 2 kuta zako zi mbele yangu daima. 1
Zechariah 9:16Bwana Mungu wao atawaokoa siku hiyo 2 kama kundi la watu wake. 1 Watangʼara katika nchi yake 2 kama vito vya thamani kwenye taji. 1