The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 54 › Isaya 54:6

Isaya 54:6

Bwana atakuita urudi 2 kana kwamba ulikuwa mke aliyeachwa na kuhuzunishwa rohoni; 1 kama mke aliyeolewa bado angali kijana 2 na kukataliwa,” asema Mungu wako. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For the LORD hath called thee as a woman forsaken and grieved in spirit, and a wife of youth, when thou wast refused, saith thy God.

In Context

5Kwa maana Muumba wako ndiye mume wako, 2 Bwana Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake, 1 yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli ni Mkombozi wako, 2 yeye anaitwa Mungu wa dunia yote. 1

7“Kwa kitambo kidogo nilikuacha, 2 lakini kwa huruma nyingi nitakurudisha. 1

Read all of Isaya 54

Cross References

Ecclesiastes 9:9Furahia maisha na mke wako, umpendaye, siku zote za maisha ya ubatili uliyopewa na Mungu chini ya jua, siku zote za ubatili. Kwa maana hili ndilo fungu lako katika maisha na katika kazi yako ya taabu chini ya jua.

Isaiah 50:1Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Iko wapi hati ya talaka ya mama yako 2 ambayo kwayo niliachana naye? 1 Au nimewauza ninyi kwa nani 2 miongoni mwa watu wanaonidai? 1 Kwa ajili ya dhambi zenu mliuzwa, 2 kwa sababu ya makosa, mama yenu aliachwa. 1

Jeremiah 30:17Lakini nitakurudishia afya yako 2 na kuyaponya majeraha yako,’ 4 asema Bwana, 1 ‘kwa sababu umeitwa mwenye kutupwa, 2 Sayuni ambaye hakuna yeyote anayekujali.’

Hosea 2:14“Kwa hiyo sasa nitamshawishi; 2 nitamwongoza hadi jangwani 2 na kuzungumza naye kwa upole. 1

Matthew 11:28“Njooni kwangu, ninyi nyote mnaotaabika na kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.

2 Corinthians 7:9lakini sasa nina furaha, si kwa sababu mlihuzunika, bali kwa kuwa huzuni hiyo iliwafanya mtubu. Kwa maana mlihuzunishwa kama Mungu alivyokusudia watu wahuzunike na hivyo sisi hatukuwadhuru kwa njia yoyote.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 54:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 54:5Isaya 54Isaya 54:7 →