Isaya 54:5
Kwa maana Muumba wako ndiye mume wako, 2 Bwana Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake, 1 yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli ni Mkombozi wako, 2 yeye anaitwa Mungu wa dunia yote. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Joshua 3:13Mara tu nyayo za makuhani walichukualo Sanduku la Bwana, Bwana wa dunia yote, zitakapokanyaga ndani ya Mto Yordani, maji hayo yatiririkayo kutoka juu yatatindika na kusimama kama chuguu.”
Psalms 45:10Sikiliza, ewe binti, fikiri na utege sikio: 2 Sahau watu wako na nyumba ya baba yako. 1
Isaiah 43:1Lakini sasa hili ndilo asemalo Bwana, 2 yeye aliyekuumba, ee Yakobo, 2 yeye aliyekuhuluku, ee Israeli: 1 “Usiogope kwa maana nimekukomboa, 2 nimekuita wewe kwa jina lako, wewe u wangu. 1
Isaiah 48:2ninyi mnaojiita raiya wa mji mtakatifu, 2 na kumtegemea Mungu wa Israeli, 2 Bwana Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake: 1
Isaiah 51:15Kwa maana Mimi ndimi Bwana, Mungu wako, 2 ambaye huisukasuka bahari ili mawimbi yake yangurume: 2 Bwana Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake. 1
Jeremiah 10:16Yeye aliye Fungu la Yakobo sivyo alivyo, 2 kwani ndiye Muumba wa vitu vyote, 1 pamoja na Israeli, kabila la urithi wake: 2 Bwana Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake. 1 Maangamizi Yajayo 1