Isaiah 55:2
Kwa nini kutumia fedha kwa kitu ambacho si chakula, 2 na kutaabikia kitu kisichoshibisha? 1 Sikilizeni, nisikilizeni mimi na mle kilicho kizuri, 2 nazo nafsi zenu zitafurahia utajiri wa unono. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 11:13Hivyo kama mkiyatii maagizo yangu ninayowapa leo kwa uaminifu, yaani kwa kumpenda Bwana Mungu wenu, na kumtumikia kwa moyo wako wote na kwa roho yenu yote,
Psalms 34:11Njooni, watoto wangu, mnisikilize, 2 nitawafundisha kumcha Bwana. 1
Psalms 63:5Nafsi yangu itatoshelezwa 2 kama kwa wingi wa vyakula; 1 kwa midomo iimbayo 2 kinywa changu kitakusifu wewe. 1
Proverbs 7:23mpaka mshale umchome ini lake, 2 kama ndege anayenaswa kwenye mtego, 2 bila kujua itamgharimu maisha yake. 1
Proverbs 9:5Njooni, mle chakula changu 2 na mnywe divai niliyoichanganya. 1
Isaiah 1:19Kama mkikubali na kutii, 2 mtakula mema ya nchi, 1