Mithali 9:5
Njooni, mle chakula changu 2 na mnywe divai niliyoichanganya. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Come, eat of my bread, and drink of the wine which I have mingled.
In Context
4Anawaambia wale wasio na akili, 2 “Wote ambao ni wajinga na waje hapa! 1
6Acheni njia zenu za ujinga nanyi mtaishi; 2 tembeeni katika njia ya ufahamu. 1
Cross References
Psalms 22:29Matajiri wote wa dunia watasherehekea na kuabudu. 2 Wote waendao mavumbini 2 watapiga magoti mbele yake, 1 wote ambao hawawezi 2 kudumisha uhai wao. 1
Proverbs 9:17“Maji yaliyoibiwa ni matamu; 2 chakula kinacholiwa sirini ni kitamu!” 1
Isaiah 55:1“Njooni, ninyi nyote wenye kiu, 2 njooni kwenye maji; 1 nanyi ambao hamna fedha, 2 njooni, nunueni na mle! 1 Njooni, nunueni divai na maziwa 2 bila fedha na bila gharama. 1
Matthew 26:26Walipokuwa wanakula, Yesu akachukua mkate, akashukuru, akaumega, na kuwapa wanafunzi wake, akisema, “Twaeni, mle; huu ndio mwili wangu.”
John 6:49Baba zenu walikula mana jangwani, lakini wakafa.