Isaiah 56:7
hawa nitawaleta kwenye mlima wangu mtakatifu 2 na kuwapa furaha ndani ya nyumba yangu ya sala. 1 Sadaka zao za kuteketeza na dhabihu zao 2 zitakubalika juu ya madhabahu yangu; 1 kwa maana nyumba yangu itaitwa 2 nyumba ya sala kwa mataifa yote.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 2:6“Nimemtawaza Mfalme wangu 2 juu ya Sayuni, mlima wangu mtakatifu.” 1 Ushindi Wa Mfalme 1
Isaiah 57:13Utakapolia kwa kuhitaji msaada, 2 sanamu zako ulizojikusanyia na zikuokoe! 1 Upepo utazipeperusha zote, 2 pumzi peke yake itazipeperusha, 1 Lakini mtu atakayenifanya kimbilio lake, 2 atairithi nchi 2 na kuumiliki mlima wangu mtakatifu.” 1 Faraja Kwa Wenye Majuto
Isaiah 66:19“Nitaweka ishara katikati yao, nami nitapeleka baadhi ya hao walionusurika kwa mataifa, hadi Tarshishi, kwa Puli + 66:19 Puli hapa inamaanisha Libya. na Waludi (wanaojulikana kama wapiga upinde), kwa Tubali na Uyunani, hadi visiwa vya mbali ambavyo havijasikia juu ya sifa zangu au kuuona utukufu wangu. Watatangaza utukufu wangu miongoni mwa mataifa.
Ezekiel 47:22Mtaigawanya kuwa urithi kwa ajili yenu na kwa ajili ya wageni wanaoishi miongoni mwenu na ambao wana watoto. Wao watakuwa kwenu kama wenyeji wazawa wa Israeli, pamoja na ninyi watagawiwa urithi miongoni mwa makabila ya Israeli.
Zechariah 8:3Hili ndilo asemalo Bwana: “Nitarudi Sayuni na kufanya makao Yerusalemu. Kisha Yerusalemu utaitwa mji wa kweli, mlima wa Bwana Mwenye Nguvu Zote utaitwa Mlima Mtakatifu.”
Matthew 21:13Akawaambia, “Imeandikwa, ‘Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala,’ lakini ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyangʼanyi.”