Zechariah 8:3
Hili ndilo asemalo Bwana: “Nitarudi Sayuni na kufanya makao Yerusalemu. Kisha Yerusalemu utaitwa mji wa kweli, mlima wa Bwana Mwenye Nguvu Zote utaitwa Mlima Mtakatifu.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 2:6“Nimemtawaza Mfalme wangu 2 juu ya Sayuni, mlima wangu mtakatifu.” 1 Ushindi Wa Mfalme 1
Isaiah 1:26Nitawarudishia waamuzi wenu kama ilivyokuwa siku za zamani, 2 nao washauri wenu kama ilivyokuwa mwanzoni. 1 Baadaye utaitwa, 2 Mji wa Haki, 2 Mji Mwaminifu.” 1
Isaiah 11:9Hawatadhuru wala kuharibu 2 juu ya mlima wangu mtakatifu wote, 1 kwa kuwa dunia itajawa na kumjua Bwana 2 kama maji yajazavyo bahari.
Isaiah 32:16Haki itakaa katika jangwa, 2 na uadilifu utakaa katika shamba lenye rutuba. 1
Isaiah 65:25Mbwa mwitu na mwana-kondoo watalisha pamoja, 2 naye simba atakula nyasi kama maksai, 2 lakini mavumbi yatakuwa chakula cha nyoka. 1 Hawatadhuru wala kuharibu 2 katika mlima wangu mtakatifu wote,” 4 asema Bwana.
Jeremiah 14:9Mbona unakuwa kama mtu aliyeshtukizwa, 2 kama shujaa asiye na uwezo wa kuokoa? 1 Wewe uko katikati yetu, Ee Bwana, 2 nasi tunaitwa kwa jina lako; 2 usituache!