Isaya 56:9
Njooni, enyi wanyama wote wa kondeni, 2 njooni mle, ninyi wanyama wote wa mwituni! 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
All ye beasts of the field, come to devour, yea, all ye beasts in the forest.
In Context
Cross References
Isaiah 18:6Yote yataachwa kwa ajili ya ndege wawindao wa mlimani 2 na wanyama pori, 1 ndege watajilisha juu yake wakati wote wa kiangazi, 2 nao wanyama pori wakati wote wa masika.
Ezekiel 29:5Nitakutupa jangwani, 2 wewe pamoja na samaki wote wa vijito vyako. 1 Utaanguka uwanjani, 2 nawe hutakusanywa au kuchukuliwa. 1 Nitakutoa uwe chakula 2 kwa wanyama wa nchi 2 na ndege wa angani.
Revelation 19:17Nami nikamwona malaika amesimama ndani kwenye jua, akaita ndege wote warukao angani kwa sauti kuu, “Njooni, kusanyikeni kwa ajili ya karamu kubwa ya Mungu,