The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 56 › Isaiah 56:10

Isaiah 56:10

Walinzi wa Israeli ni vipofu, 2 wote wamepungukiwa na maarifa; 1 wote ni mbwa walio bubu, 2 hawawezi kubweka; 1 hulala na kuota ndoto, 2 hupenda kulala. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

His watchmen are blind: they are all ignorant, they are all dumb dogs, they cannot bark; sleeping, lying down, loving to slumber.

In Context

9Njooni, enyi wanyama wote wa kondeni, 2 njooni mle, ninyi wanyama wote wa mwituni! 1

11Ni mbwa wenye tamaa kubwa, 2 kamwe hawatosheki. 1 Wao ni wachungaji waliopungukiwa na ufahamu; 2 wote wamegeukia njia yao wenyewe, 2 kila mmoja hutafuta faida yake mwenyewe. 1

Read all of Isaiah 56

Cross References

Proverbs 6:4Usiruhusu usingizi machoni pako, 2 usiruhusu kope zako zisinzie. 1

Isaiah 29:10Bwana amewaleteeni usingizi mzito: 2 Ameziba macho yenu (ninyi manabii); 2 amefunika vichwa vyenu (ninyi waonaji).

Isaiah 58:1“Piga kelele, usizuie. 2 Paza sauti yako kama tarumbeta. 1 Watangazieni watu wangu uasi wao, 2 na kwa nyumba ya Yakobo dhambi zao. 1

Jeremiah 14:13Lakini nikasema, “Aa, Bwana Mwenyezi, manabii wanaendelea kuwaambia, ‘Hamtaona upanga wala kukabiliwa na njaa. Naam, nitawapa amani ya kudumu mahali hapa.’ ”

Ezekiel 3:15Nikafika kwa wale watu waliokuwa uhamishoni huko Tel-Abibu karibu na Mto Kebari. Nikakaa miongoni mwao kwa muda wa siku saba, nikiwa nimejawa na mshangao. 1 Onyo Kwa Israeli

Ezekiel 13:16wale manabii wa Israeli waliotabiri juu ya Yerusalemu na kuona maono ya amani kwa ajili yake wakati kulipokuwa hakuna amani, asema Bwana Mwenyezi.” ’

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 56:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 56:9Isaiah 56Isaiah 56:11 →