The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 57 › Isaiah 57:8

Isaiah 57:8

Nyuma ya milango yako na miimo yako 2 umeweka alama zako za kipagani. 1 Kwa kuniacha mimi, ulifunua kitanda chako, 2 umepanda juu yake na kukipanua sana; 1 ulifanya patano na wale ambao unapenda vitanda vyao, 2 nawe uliangalia uchi wao. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Behind the doors also and the posts hast thou set up thy remembrance: for thou hast discovered thyself to another than me, and art gone up; thou hast enlarged thy bed, and made thee a covenant with them; thou lovedst their bed where thou sawest it.

In Context

7Umeweka kitanda chako juu kwenye kilima kirefu kilichoinuka, 2 huko ulikwenda kutoa dhabihu zako. 1

9Ulikwenda kwa Moleki + 57:9 Moleki alikuwa mungu aliyekuwa anaabudiwa na Waamoni; pia alijulikana kama Malkomu, Maloki au Kemoshi wa Moabu. ukiwa na mafuta ya zeituni, 2 na ukaongeza manukato yako. 1 Ukawatuma wajumbe wako mbali sana, 2 ukashuka kwenye kaburi + 57:9 Kaburi hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol. lenyewe! 1

Read all of Isaiah 57

Cross References

Ezekiel 8:8Akaniambia, “Mwanadamu, sasa toboa kwenye ukuta huu.” Ndipo nikatoboa ule ukuta, nikaona hapo pana mlango.

Ezekiel 16:32“ ‘Wewe mke mzinzi! Unapenda wageni, kuliko mume wako mwenyewe.

Ezekiel 23:41Ukaketi kwenye kiti cha anasa, kukiwa na meza iliyoandaliwa mbele yake ambayo juu yake ulikuwa umeweka uvumba na mafuta ambayo yalikuwa yangu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 57:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 57:7Isaiah 57Isaiah 57:9 →