Isaya 57:9
Ulikwenda kwa Moleki + 57:9 Moleki alikuwa mungu aliyekuwa anaabudiwa na Waamoni; pia alijulikana kama Malkomu, Maloki au Kemoshi wa Moabu. ukiwa na mafuta ya zeituni, 2 na ukaongeza manukato yako. 1 Ukawatuma wajumbe wako mbali sana, 2 ukashuka kwenye kaburi + 57:9 Kaburi hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol. lenyewe! 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Proverbs 7:17Nimetia manukato kitanda changu 2 kwa manemane, udi na mdalasini. 1
Isaiah 30:1Bwana asema, 2 “Ole kwa watoto wakaidi, 1 kwa wale wanaotimiza mipango ambayo si yangu, 2 wakifanya makubaliano, lakini si kwa Roho wangu, 2 wakilundika dhambi juu ya dhambi, 1
Ezekiel 16:33Kila kahaba hupokea malipo, lakini wewe hutoa zawadi kwa wapenzi wako wote, ukiwahonga ili waje kwako kutoka kila mahali kwa ajili ya ukahaba wako.
Ezekiel 23:40“Walituma hata wajumbe kuwaita watu kutoka mbali, nao walipowasili ulioga kwa ajili yao, ukapaka macho yako rangi na ukavaa mapambo yako yaliyotengenezwa kwa vito vya dhahabu.
Hosea 7:11“Efraimu ni kama hua, 2 hudanganywa kwa urahisi na hana akili: 1 mara anaita Misri, 2 mara anageukia Ashuru. 1
Colossians 2:18Mtu yeyote asiwaondolee thawabu yenu kwa kusisitiza kunyenyekea kwake na kuabudu malaika. Mtu kama huyo hudumu katika maono yake, akijivuna bila sababu katika mawazo ya kibinadamu.