The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 57 › Isaiah 57:7

Isaiah 57:7

Umeweka kitanda chako juu kwenye kilima kirefu kilichoinuka, 2 huko ulikwenda kutoa dhabihu zako. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Upon a lofty and high mountain hast thou set thy bed: even thither wentest thou up to offer sacrifice.

In Context

6“Sanamu zilizo katikati ya mawe laini ya mabondeni ndizo fungu lenu; 2 hizo ndizo sehemu yenu. 1 Naam, kwa hizo mmemimina sadaka za vinywaji, 2 na kutoa sadaka za nafaka. 1 Katika haya yote, 2 niendelee kuona huruma? 1

8Nyuma ya milango yako na miimo yako 2 umeweka alama zako za kipagani. 1 Kwa kuniacha mimi, ulifunua kitanda chako, 2 umepanda juu yake na kukipanua sana; 1 ulifanya patano na wale ambao unapenda vitanda vyao, 2 nawe uliangalia uchi wao. 1

Read all of Isaiah 57

Cross References

Jeremiah 3:2“Inua macho utazame miinuko iliyo kame na uone. 2 Je, pana mahali ambapo hawajalala nawe? 1 Uliketi kando ya barabara ukiwasubiri wapenzi, 2 ukakaa kama yeye ahamahamaye jangwani. 1 Umeinajisi nchi 2 kwa ukahaba wako na uovu wako. 1

Ezekiel 6:13Nao watajua kwamba Mimi ndimi Bwana, wakati maiti za watu wao zitakapokuwa zimelala katikati ya sanamu zao kuzunguka madhabahu yao, juu ya kila kilima kilichoinuka na juu ya vilele vyote vya milima, chini ya kila mti uliotanda na kila mwaloni wenye majani, yaani, sehemu walizofukizia uvumba kwa sanamu zao zote.

Ezekiel 16:25Katika kila mwanzo wa barabara ulijenga mahali pa fahari pa ibada za miungu na kuaibisha uzuri wako, ukiutoa mwili wako kwa kuzidisha uzinzi kwa kila apitaye.

Ezekiel 23:17Ndipo hao Wababeli wakaja kwake kwenye kitanda cha mapenzi, nao katika tamaa zao wakamtia unajisi. Baada ya kutiwa unajisi, akawaacha kwa kuwachukia.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 57:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 57:6Isaiah 57Isaiah 57:8 →