The Bible Software
bible.software › Isaya › Isaya 58 › Isaya 58:14

Isaya 58:14

ndipo utakapojipatia furaha yako katika Bwana, 2 nami nitakufanya upande juu ya miinuko ya nchi 1 na kusherehekea urithi wa Yakobo baba yako.” 4 Kinywa cha Bwana kimenena haya.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Then shalt thou delight thyself in the LORD; and I will cause thee to ride upon the high places of the earth, and feed thee with the heritage of Jacob thy father: for the mouth of the LORD hath spoken it.

In Context

13“Kama ukitunza miguu yako isivunje Sabato, 2 na kutokufanya kama vile upendavyo katika siku yangu takatifu, 1 kama ukiita Sabato siku ya furaha 2 na siku takatifu ya Bwana ya kuheshimiwa, 1 kama utaiheshimu kwa kutoenenda 2 katika njia zako mwenyewe, 1 na kutokufanya yakupendezayo 2 au kusema maneno ya upuzi, 1

Read all of Isaya 58

Cross References

Deuteronomy 33:29Ee Israeli, wewe umebarikiwa! 2 Ni nani kama wewe, 2 taifa lililookolewa na Bwana? 1 Yeye ni ngao yako na msaada wako, 2 na upanga wako uliotukuka. 1 Adui zako watatetemeka mbele yako, 2 nawe utapakanyaga 2 mahali pao pa juu.” + 33:29 Utapakanyaga mahali pao pa juu maana yake mtakanyaga juu ya miili yao.

Job 27:10Je, anaweza kumfurahia Mwenyezi? 2 Je, atamwita Mungu nyakati zote? 1

Psalms 36:8Wanajifurahisha katika wingi nyumbani mwako, 2 nawe utawanywesha katika mto wa furaha zako. 1

Psalms 37:11Bali wanyenyekevu watairithi nchi 2 na wafurahie amani tele. 1

Psalms 135:12akatoa nchi yao kuwa urithi, 2 urithi kwa watu wake Israeli. 1

Isaiah 1:19Kama mkikubali na kutii, 2 mtakula mema ya nchi, 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 58:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 58:13Isaya 58