Isaya 59:15
Kweli haipatikani popote, 2 na yeyote aepukaye uovu huwa mawindo. 1 Bwana alitazama naye akachukizwa 2 kwamba hapakuwepo haki. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Samuel 11:27Baada ya muda wa maombolezo kwisha, Daudi akamtaka aletwe nyumbani kwake, naye akawa mkewe, na akamzalia mwana. Lakini jambo alilokuwa amefanya Daudi lilimchukiza Bwana.
2 Chronicles 21:7Hata hivyo, kwa sababu ya Agano ambalo Bwana alikuwa amefanya na Daudi, Bwana hakuwa radhi kuangamiza nyumba ya Daudi. Mungu alikuwa ameahidi kuidumisha taa kwa ajili yake na wazao wake milele.
Psalms 12:1Bwana tusaidie, kwa kuwa wacha Mungu wametoweka; 2 waaminifu wametoweka miongoni mwa wanadamu. 1
Isaiah 48:1“Sikilizeni hili, ee nyumba ya Yakobo, 2 ninyi mnaoitwa kwa jina la Israeli, 2 na mnaotoka katika ukoo wa Yuda, 1 ninyi mnaoapa kwa jina la Bwana, 2 mnaomwomba Mungu wa Israeli, 2 lakini si katika kweli au kwa haki; 1
Isaiah 66:4Hivyo, mimi pia nitawachagulia mapigo makali, 2 nami nitaleta juu yao kile wanachokiogopa. 1 Kwa maana nilipoita, hakuna yeyote aliyejibu, 2 niliposema, hakuna yeyote aliyesikiliza. 1 Walifanya maovu machoni pangu 2 na kuchagua lile linalonichukiza.” 1
Jeremiah 7:28Kwa hiyo waambie, ‘Hili ni taifa ambalo halimtii Bwana, Mungu wao, wala kukubali maonyo. Kweli imekufa, imetoweka midomoni mwao.