Isaya 59:14
Hivyo uadilifu umerudishwa nyuma, 2 nayo haki inasimama mbali, 1 kweli imejikwaa njiani, 2 uaminifu hauwezi kuingia. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Kings 21:11Hivyo wazee na watu wenye cheo walioishi katika mji wa Nabothi wakafanya kama Yezebeli alivyoelekeza katika barua aliyowaandikia.
Psalms 119:150Wale wanaopanga mipango miovu wako karibu nami, 2 lakini wako mbali na sheria yako. 1
Isaiah 1:21Tazama jinsi mji uliokuwa mwaminifu 2 umekuwa kahaba! 1 Mwanzoni ulikuwa umejaa unyofu, 2 haki ilikuwa inakaa ndani yake, 2 lakini sasa ni wauaji! 1
Isaiah 10:1Ole wao wawekao sheria zisizo za haki, 2 kwa wale watoao amri za kuonea, 1
Jeremiah 5:27Kama vitundu vilivyojaa ndege, 2 nyumba zao zimejaa udanganyifu; 1 wamekuwa matajiri na wenye nguvu, 2
Hosea 7:1kila mara nilipotaka kumponya Israeli, 2 dhambi za Efraimu zinafichuliwa 2 na maovu ya Samaria yanafunuliwa. 1 Wanafanya udanganyifu, 2 wevi huvunja nyumba, 2 maharamia hunyangʼanya barabarani, 1