Isaya 6:11
Ndipo nikasema, “Hadi lini, Ee Bwana?” Naye akanijibu: 1 “Hadi miji iwe imeachwa magofu 2 na bila wakazi, 1 hadi nyumba zitakapobaki bila watu, 2 na mashamba yatakapoharibiwa na kuangamizwa, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Leviticus 26:33Nitawatawanya ninyi miongoni mwa mataifa, na kuufuta upanga wangu na kuwafuatia. Nchi yenu itaharibiwa, nayo miji yenu itakuwa magofu.
Deuteronomy 28:63Kama ilivyompendeza Bwana kuwafanya ninyi mstawi na kuongezeka kwa idadi, ndivyo itakavyompendeza kuwaharibu na kuwaangamiza ninyi. Mtangʼolewa kutoka nchi mnayoiingia kuimiliki.
Psalms 79:5Hata lini, Ee Bwana? Je, wewe utakasirika milele? 2 Wivu wako utawaka kama moto hadi lini? 1
Psalms 94:3Hata lini, waovu, Ee Bwana, 2 hata lini waovu watashangilia? 1
Isaiah 3:26Malango ya Sayuni yataomboleza na kulia, 2 ataketi mavumbini akiwa fukara.
Micah 7:13Dunia itakuwa ukiwa kwa sababu ya wakazi wake, 2 kwa sababu ya matunda ya matendo yao. 1 Sala Na Sifa 1