Isaya 6:12
hadi Bwana atakapokuwa amekwisha kumpeleka kila mmoja mbali sana, 2 na nchi itakapokuwa imeachwa kabisa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the LORD have removed men far away, and there be a great forsaking in the midst of the land.
In Context
Cross References
2 Kings 25:11Nebuzaradani jemadari wa askari walinzi akawapeleka uhamishoni watu waliokuwa wamebaki katika mji, pamoja na mabaki ya watu wa kawaida, na wale waliojisalimisha kwa mfalme wa Babeli.
Isaiah 26:15Umeliongeza hilo taifa, Ee Bwana, 2 umeliongeza hilo taifa. 1 Umejipatia utukufu kwa ajili yako mwenyewe, 2 umepanua mipaka yote ya nchi. 1
Jeremiah 12:7“Nitaiacha nyumba yangu, 2 nitupe urithi wangu; 1 nitamtia yeye nimpendaye 2 mikononi mwa adui zake. 1
Jeremiah 52:28Hii ndiyo hesabu ya watu ambao Nebukadneza aliwachukua kwenda uhamishoni: 1 katika mwaka wa saba, 2 Wayahudi 3,023; 1
Romans 11:1Basi nauliza: Je, Mungu amewakataa watu wake? La, hasha! Mimi mwenyewe ni Mwisraeli, tena uzao wa Abrahamu kutoka kabila la Benyamini.