Isaya 3:26
Malango ya Sayuni yataomboleza na kulia, 2 ataketi mavumbini akiwa fukara.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And her gates shall lament and mourn; and she being desolate shall sit upon the ground.
In Context
25Wanaume wako watauawa kwa upanga, 2 nao mashujaa wako watauawa vitani. 1
Cross References
Job 2:8Ndipo Ayubu akachukua kigae na kujikuna nacho huku akiketi kwenye majivu.
Isaiah 29:2Hata hivyo nitauzunguka Arieli kwa jeshi, 2 utalia na kuomboleza, 1 utakuwa kwangu kama mahali 2 pa kuwashia moto madhabahuni. 1
Isaiah 47:1“Shuka uketi mavumbini, 2 ee Bikira Binti Babeli; 1 keti chini pasipo na kiti cha enzi, 2 ee binti wa Wakaldayo. 1 Hutaitwa tena mwororo wala wa kupendeza. 1
Lamentations 1:4Barabara zielekeazo Sayuni zaomboleza, 2 kwa kuwa hakuna yeyote anayekuja 2 kwenye sikukuu zake zilizoamriwa. 1 Malango yake yote yamekuwa ukiwa, 2 makuhani wake wanalia kwa uchungu, 1 wanawali wake wanahuzunika, 2 naye yuko katika uchungu wa maumivu makuu. 1
Ezekiel 26:16Ndipo wakuu wote wa mataifa ya pwani watashuka kutoka kwenye viti vyao vya enzi na kuweka kando majoho yao na kuvua nguo zao zilizotariziwa. Wakiwa wamevikwa hofu kuu, wataketi chini ardhini, wakiwa wanatetemeka kila dakika na wakikustajabia.