Isaya 59:20
“Mkombozi atakuja Sayuni, 2 kwa wale wa Yakobo 2 wanaozitubu dhambi zao,” 4 asema Bwana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 19:25Ninajua kwamba Mkombozi + 19:25 Au: Mtetezi. wangu yu hai, 2 naye kwamba mwishoni atasimama juu ya nchi. 1
Isaiah 10:22Ingawa watu wako, ee Israeli, ni wengi kama mchanga wa pwani, 2 ni mabaki yao tu watakaorudi. 1 Maangamizi yamekwisha amriwa, 2 ni mengi tena ni haki. 1
Isaiah 62:11Bwana ametoa tangazo 2 mpaka miisho ya dunia: 1 “Mwambie Binti Sayuni, 2 ‘Tazama, mwokozi wako anakuja! 1 Tazama ujira wake uko pamoja naye, 2 na malipo yake yanafuatana naye!’ ” 1
Daniel 9:13Kama vile ilivyoandikwa katika sheria ya Mose, misiba hii yote imekuja juu yetu, lakini hatujaomba fadhili kwa Bwana Mungu wetu kwa kugeuka kutoka dhambi zetu na kuwa wasikivu katika kweli yake.
Obadiah 1:17Lakini katika Mlima Sayuni kutakuwepo 2 na wale watakaookoka; 2 nao utakuwa mtakatifu, 1 nayo nyumba ya Yakobo 2 itamiliki urithi wake. 1
Acts 3:19Tubuni basi mkamgeukie Mungu, dhambi zenu zifutwe, ili zipate kuja nyakati za kuburudishwa kwa kuwepo kwake Bwana,