The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 62 › Isaiah 62:2

Isaiah 62:2

Mataifa wataona haki yako, 2 nao wafalme wote wataona utukufu wako; 1 wewe utaitwa kwa jina jipya 2 lile ambalo kinywa cha Bwana kitatamka. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the Gentiles shall see thy righteousness, and all kings thy glory: and thou shalt be called by a new name, which the mouth of the LORD shall name.

In Context

1Kwa ajili ya Sayuni sitanyamaza, 2 kwa ajili ya Yerusalemu sitatulia, 1 mpaka haki yake itakapoangaza kama mapambazuko, 2 wokovu wake kama mwanga wa moto. 1

3Utakuwa taji ya fahari mkononi mwa Bwana, 2 taji ya kifalme mkononi mwa Mungu wako. 1

Read all of Isaiah 62

Cross References

Genesis 17:5Jina lako hutaitwa tena Abramu, bali jina lako litakuwa Abrahamu, + 17:5 Abrahamu maana yake Baba wa watu wengi. kwa maana nimekufanya wewe baba wa mataifa mengi.

Genesis 32:28Ndipo yule mtu akasema, “Jina lako halitakuwa tena Yakobo, bali Israeli, + 32:28 Israeli maana yake Yeye ashindanaye na Mungu. kwa sababu umeshindana na Mungu na watu pia, nawe umeshinda.”

Psalms 138:4Wafalme wote wa dunia wakusifu wewe Ee Bwana, 2 wakati wanaposikia maneno ya kinywa chako. 1

Isaiah 49:23Wafalme watakuwa baba zenu wa kuwalea, 2 na malkia wao watakuwa mama zenu wa kuwalea. 1 Watasujudu mbele yako nyuso zao zikigusa ardhi; 2 wataramba mavumbi yaliyo miguuni mwako. 1 Ndipo utajua ya kuwa Mimi ndimi Bwana; 2 wale wanaonitumaini mimi hawataaibika.” 1

Isaiah 60:1“Ondoka, angaza, kwa kuwa nuru yako imekuja 2 na utukufu wa Bwana umezuka juu yako. 1

Isaiah 60:16Utanyonya maziwa ya mataifa, 2 na kunyonyeshwa matiti ya wafalme. 1 Ndipo utakapojua kwamba Mimi, Bwana, ni Mwokozi wako, 2 Mkombozi wako, niliye Mwenye Nguvu wa Yakobo. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 62:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 62:1Isaiah 62Isaiah 62:3 →