Isaya 62:1
Kwa ajili ya Sayuni sitanyamaza, 2 kwa ajili ya Yerusalemu sitatulia, 1 mpaka haki yake itakapoangaza kama mapambazuko, 2 wokovu wake kama mwanga wa moto. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 98:1Mwimbieni Bwana wimbo mpya, 2 kwa maana ametenda mambo ya ajabu; 1 kitanga chake cha kuume na mkono wake mtakatifu 2 umemfanyia wokovu. 1
Psalms 122:6Omba kwa ajili ya amani ya Yerusalemu: 2 “Wote wakupendao na wawe salama. 1
Proverbs 4:18Njia ya wenye haki ni kama nuru ya kwanza ya mapambazuko, 2 ambayo hungʼaa zaidi na zaidi mpaka mchana mkamilifu. 1
Isaiah 32:15mpaka Roho amwagwe juu yetu kutoka juu, 2 nalo jangwa kuwa shamba lenye rutuba, 2 na shamba lenye rutuba kuwa kama msitu. 1
Isaiah 51:9Amka, Amka! Jivike nguvu, 2 ewe mkono wa Bwana, 1 Amka, kama siku zilizopita, 2 kama vile vizazi vya zamani. 1 Si ni wewe uliyemkata Rahabu vipande vipande, 2 uliyemchoma yule joka? 1
Isaiah 60:2Tazama, giza litaifunika dunia 2 na giza kuu litayafunika mataifa, 1 lakini Bwana atazuka juu yako 2 na utukufu wake utaonekana juu yako. 1