Isaiah 64:12
Ee Bwana, baada ya haya yote, utajizuia? 2 Je, utanyamaza kimya na kutuadhibu kupita kiasi?
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 74:10Ee Mungu, mtesi atakudhihaki mpaka lini? 2 Je, adui watalitukana jina lako milele? 1
Psalms 79:5Hata lini, Ee Bwana? Je, wewe utakasirika milele? 2 Wivu wako utawaka kama moto hadi lini? 1
Psalms 83:1Ee Mungu, usinyamaze kimya, 2 usinyamaze, Ee Mungu, usitulie. 1
Isaiah 42:14“Kwa muda mrefu nimenyamaza kimya, 2 nimekaa kimya na kujizuia. 1 Lakini sasa, kama mwanamke wakati wa kujifungua, 2 ninapiga kelele, ninatweta na kushusha pumzi. 1
Revelation 6:10Wakalia kwa sauti kuu, wakisema, “Hata lini, Ee Bwana Mwenyezi, uliye mtakatifu na mwaminifu, hutawahukumu na kulipiza kisasi juu ya watu waishio duniani kwa ajili ya damu yetu?”