The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 42 › Isaya 42:14

Isaya 42:14

“Kwa muda mrefu nimenyamaza kimya, 2 nimekaa kimya na kujizuia. 1 Lakini sasa, kama mwanamke wakati wa kujifungua, 2 ninapiga kelele, ninatweta na kushusha pumzi. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

I have long time holden my peace; I have been still, and refrained myself: now will I cry like a travailing woman; I will destroy and devour at once.

In Context

13Bwana ataenda kama mtu mwenye nguvu, 2 kama shujaa atachochea shauku yake, 1 kwa kelele ataamsha kilio cha vita, 2 naye atashinda adui zake. 1

15Nitaharibu milima na vilima 2 na kukausha mimea yako yote; 1 nitafanya mito kuwa visiwa 2 na kukausha mabwawa. 1

Read all of Isaya 42

Cross References

Job 32:20Ni lazima niseme ili niweze kutulia; 2 ni lazima nifumbue midomo yangu nipate kujibu. 1

Psalms 50:21Mambo haya unayafanya, nami nimekaa kimya, 2 ukafikiri Mimi nami ni kama wewe. 1 Lakini nitakukemea 2 na kuweka mashtaka mbele yako. 1

Ecclesiastes 8:11Wakati hukumu juu ya tendo ovu haitekelezwi upesi, mioyo ya watu hujaa mipango ya kutenda maovu.

Jeremiah 44:22Bwana alipokuwa hawezi kuendelea kuvumilia matendo yenu maovu na mambo ya machukizo mliyoyafanya, nchi yenu ilikuwa kitu cha kulaania na kuachwa ukiwa pasipo wakazi, kama ilivyo leo.

2 Peter 3:9Bwana hakawii kuitimiza ahadi yake, kama watu wengine wanavyokudhani kukawia. Badala yake, yeye anawavumilia ninyi, maana hataki mtu yeyote aangamie, bali kila mtu afikilie toba.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 42:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 42:13Isaya 42Isaya 42:15 →