Isaiah 64:4
Tangu nyakati za zamani hakuna yeyote aliyesikia, 2 hakuna sikio lililotambua, 1 hakuna jicho lililomwona Mungu mwingine ila wewe, 2 anayetenda mambo kwa ajili ya wale wamngojeao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Ezra 9:7Tokea siku za babu zetu mpaka sasa, hatia yetu imekuwa kubwa. Kwa sababu ya dhambi zetu, sisi na wafalme wetu na makuhani wetu tumekabiliwa na vita, utumwa, kutekwa na kudhiliwa katika mikono ya wafalme wa kigeni, kama ilivyo leo.
Psalms 62:1Kwa Mungu peke yake nafsi yangu inapata pumziko; 2 wokovu wangu watoka kwake. 1
Psalms 130:5Namngojea Bwana, nafsi yangu inangojea, 2 katika neno lake naweka tumaini langu. 1
Isaiah 30:18Hata hivyo Bwana anatamani kutupatia neema, 2 anainuka ili kuwaonyesha huruma. 1 Kwa kuwa Bwana ni Mungu wa haki. 2 Wamebarikiwa wote wanaomngojea yeye!
Lamentations 3:25Bwana ni mwema kwa wale ambao tumaini lao ni kwake, 2 kwa yule ambaye humtafuta; 1
Daniel 9:8Ee Bwana, sisi na wafalme wetu, wakuu wetu na baba zetu tumefunikwa na aibu kwa sababu tumefanya dhambi dhidi yako.