Isaiah 64:5
Uliwasaidia watu wale watendao yaliyo haki kwa furaha, 2 wale wazikumbukao njia zako. 1 Lakini wakati tulipoendelea kutenda dhambi kinyume na njia zako, 2 ulikasirika. 2 Tutawezaje basi kuokolewa? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 25:22Hapo juu ya hicho kifuniko, kati ya hao makerubi wawili walioko juu ya hilo Sanduku la Ushuhuda, hapo ndipo nitakapokutana nawe na kukupa maagizo yangu kwa ajili ya Waisraeli. 1 Meza Ya Mikate Ya Wonyesho (Kutoka 37:10-16)
Exodus 30:6Weka hayo madhabahu mbele ya lile pazia lililo mbele ya Sanduku la Ushuhuda, lililo mbele ya kiti cha rehema kilicho juu ya Sanduku la Ushuhuda, mahali ambapo nitakutana nawe.
Psalms 37:4Jifurahishe katika Bwana 2 naye atakupa haja za moyo wako. 1
Psalms 103:17Lakini kutoka milele hata milele 2 upendo wa Bwana uko kwa wale wamchao, 2 nayo haki yake kwa watoto wa watoto wao: 1
Isaiah 1:30Mtakuwa kama mwaloni wenye majani yanayonyauka, 2 kama bustani isiyokuwa na maji. 1
Isaiah 27:8Kwa vita na kwa kumfukuza unapingana naye: 2 kwa mshindo wake mkali anamfukuza, 2 kama siku ile uvumapo upepo wa mashariki. 1