Isaiah 64:8
Lakini, Ee Bwana, wewe ndiwe Baba yetu. 2 Sisi ni udongo, wewe ndiye mfinyanzi; 2 sisi sote tu kazi ya mkono wako. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 32:12Kwa nini Wamisri waseme, ‘Ni kwa nia mbaya aliwatoa Misri, ili awaue milimani na kuwafuta usoni mwa dunia’? Achilia mbali hasira yako kali, waonee huruma na usilete maafa juu ya watu wako.
Deuteronomy 32:6Je, hii ndiyo njia ya kumlipa Bwana, 2 enyi watu wajinga na wasio na busara? 1 Je, yeye siye Baba yenu, Muumba wenu, 2 aliyewafanya ninyi na kuwaumba? 1
Psalms 74:1Ee Mungu, mbona umetukataa milele? 2 Mbona hasira yako inatoka moshi 2 juu ya kondoo wa malisho yako? 1
Psalms 100:3Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu. 2 Yeye ndiye alituumba, sisi tu mali yake; 1 sisi tu watu wake, 2 kondoo wa malisho yake. 1
Psalms 138:8Bwana atatimiza kusudi lake kwangu, 2 Ee Bwana, upendo wako wadumu milele: 2 usiziache kazi za mikono yako.
Isaiah 43:7kila mmoja ambaye ameitwa kwa Jina langu, 2 niliyemuumba kwa utukufu wangu, 2 niliyemhuluku na kumfanya.” 1