Isaiah 65:2
Mchana kutwa nimeinyoosha mikono yangu 2 kwa watu wakaidi, 1 wanaokwenda katika njia ambazo si nzuri, 2 wafuatao mawazo yao wenyewe: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 15:39Mtakuwa mkivitazama vifundo hivyo ili mpate kukumbuka amri zote za Bwana, ili mpate kuzitii msije mkajitia uzinzi wenyewe kwa kuzifuata tamaa za mioyo yenu na za macho yenu.
Deuteronomy 29:19Wakati mtu wa namna hii asikiapo maneno ya kiapo hiki, hujibariki mwenyewe na kisha hufikiri, “Nitakuwa salama, hata kama nikiendelea kuifuata njia yangu mwenyewe.” Hili litaleta maafa juu ya nchi iliyonyeshewa sawasawa na nchi kame.
Psalms 36:4Hata kitandani mwake hupanga hila mbaya, 2 hujitia katika njia ya dhambi 2 na hakatai lililo baya. 1
Psalms 81:11“Lakini watu wangu hawakutaka kunisikiliza; 2 Israeli hakutaka kunitii. 1
Proverbs 16:29Mtu mkali humvuta jirani yake 2 na kumwongoza katika mapito yale mabaya. 1
Isaiah 1:23Watawala wenu ni waasi, 2 rafiki wa wevi, 1 wote wanapenda rushwa 2 na kukimbilia hongo. 1 Hawatetei yatima, 2 shauri la mjane haliletwi mbele yao lisikilizwe. 1